CHANZO cha habari kilieleza kuwa msichana huyo shida yake kubwa ilikuwa ni kupata kazi ya maana ndipo kibosile huyo alipojipatia fursa ya kumega penzi kiulaini baada ya kumuahidi mrembo huyo kwamba kazi ipo njenje.
Jamaa alizidi kumchanganya dada kwa kumwambia
kwamba yeye ni Director katika kampuni kubwa..! Dadada alikubaliana na
yote lakini inaonekana kama vile mrembo huyu alimuandaa mwenzie na
Camera kabla ya tukio ili wakianza mambo ya watu wazima tu apige picha
ya ushaidi ili endapo kama boss huyo atakiuka makubaliano hayo
wamshushue. Basi kilichojiri ni kwamba penzi limetoka na kazi
haikupatikana.
Dada zetu narudia tena dada zetu muwe makini jifunzeni kupitia wenzenu kama hawa.