Natumaini mu wazima wa afya njema. hili
ni swali linalonitatiza kila siku ni sababu zipi zinazopelekea mwanaume
kugeuka na kumwangalia tena mwanamke mara tu wanapopishana hasa kwa
wale wenye makalio makubwa...?? je ni sababu zipi zinazopelekea kutokea na kuendelea kwa hali hiyo?