STAA
wa Bongo Fleva Rehema Chalamila’Ray C’amefunguka kupitia mtandao wa
instragram kuwa anahitaji kuwa na boyfriend mwenye asili ya Kihindi kwa
sababu wana mapenzi ya ukweli baaya ya kuangalia filamu zao.
Ray C alipost kipande
cha filamu hiyo na kuandika…Daaaamn!!!!i want an indian boyfriend right
nowwww!!!So romantic!!!ths movie is crazy......on my own in my Bollywood
Room…
• safiazungu @janiaally si mchezo 5d
• zaynamiraji hawawezi michezo yetu.....ata kuboree 5d
• kivuli_the_oxgen Unapenda Mumbai.@ 5d
• mantisa_man jab tak hae jaan_saans me ter saans milito noma thana da best song in da movie @akki_iam @janiaally 5d
• mantisa_man @rayc1982 5d
• citronellaboutique Inaitwaje hiyo movie? 4d
• matikibokoyao Mmh
sitaki hata kuwasikia niwabaguzi kufa mtu waindi wakimuona black people
shurt wana anza kuku cheka wengine wanatema mate ht km alikuwa ana kula
ana acha anakusha ngaa siwanaume wala wana wake wanamshangaa mtu mweusi
km kima siwapendi mbwa hawa ila mi siwakopesha mpk mabao wanakulaga
kwangu mie yani wanakera in short mmh wapende tuu tena ukionekan
unaongozan na muindi mwanaume wanafikra potof wanajua unaenda
kuchakachua duh siwataki ht buree @rayc1982 4d
• rayc1982 Hihihihi duh
afu tena uko kwenye nchi Yao daaaaah pole my dia sikujua wako hivyo
mbona hata wao ni weusi tena wengine weusi kuliko hata sisi umenifanya
nipunguze mapenzi Kwao ingawa nishawahi kuwa na boyfriend wa kihindi but
alikuwa poa sana... @matikibokoyao 3d