MASTAA kunako tasnia ya filamu
Bongo,Jackline Wolper na Vincent Kigosi’Ray’wametembelea mbuga za
wanyama Jijini Arusha huku wakiendelea kurekodi filamu yao mpya.
Kupitia
account zao za Instragram wamepost picha mbalimbali wakitazama wanyama
huku Ray akiandika …Hii Sehemu inaitwa National Parks ipo Arusha. Kuna
vivutio vingi sana vya kuifanya Nchi Ye2 Kujitegemea bila Misaada.
…Hapa Kuna Maji ambayo Yanatoka Juu na kuporomoka Chini yani WaterFalls.