ITV
imeshuhudia jitihada za jeshi la polisi na kikosi cha zimamoto na
uokoaji wakishirikiana na wananchi katika kuondoa mwili wa marehemu
ambapo wakizungumzia tukio hilo baadhi ya mashuhuda wamesema marehemu
alikuwa akichomelea vyuma ndani ya tenki hilo lililokuwa limeharibika
ambapo gafla ulitokea mlipuko na kupelekea marehemu kukosa hewa ingawa
jitihada za kumtoa akiwa Hai zilishindikana kutokana na kukosa hewa.
Kwa
upande wake mwakilishi wa zamu wa kikosi cha zimamoto na uokoaji mkoa
wa Morogoro Masoud Ramadhan amesema uchunguzi wa haraka uliofanyika
umebaini kuwa baada ya kutokea mlipuko uliosababishwa harufu kali ya
mafuta ndani ya tank hilo na ambapo mamehemu alikosa hewa