MAKUBWA! staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amejianika akifanyiwa masaji laivu.
Mara
baada ya tukio hilo huku akiwa ‘amefotolewa mapicha’ ambayo
aliyatundika kwenye ukurasa wake wa Instagram, mwanadada huyo alielezea
jinsi alivyohisi raha ya ajabu wakati akifanyiwa masaji.
Hata hivyo, tukio hilo liligeuka gumzo huku baadhi ya mashabiki wakimsifia na wengine wakimponda.