STAA
wa filamu za vichekesho Bongo ambaye ni mtoto wa Mzee Charles Magali,
Sherry Charles Magali ana hali mbaya na sasa ukimuona huwezi kumtambua
kama ni yeye.
Sherry Charles Magali kabla ya kukonda.
Hali
hiyo imekuja kutokana na maelezo kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo
kiasi cha kumfanya akonde sana na lile wowowo lake lililokuwa
likimtambulisha kwenye usanii kupotea.
“Yaani
sina hata la kusema kwani najikuta napata aibu kwa sababu watu
wananishangaa sana, moyo unauma, najitahidi kutumia tiba mbalimbali
lakini naamini nitapona,” alisema Sherry