Home
»
mapenzi
»
"SITAMSAHAU HUYU MDADA NIMEMVULIA KOFIA..."...MDAU
Mambo
niaje wakuu..sijui hata nianzie wapi?...hawa wanawake...!! basi
tu!!basi bwana nmekua nikimdate dada mmoja mwenyeji wa iringa .sio siri
kwa haraka haraka nlijua huyu ananipenda kwa dhati, mie kiukweli
nlimpenda sana.Tumedate kwa almost mwaka na nusu,kwa mda wote huo sharti
ilikua ni hakuna kugegendana mpaka tufunge ndoa.Kidume nlijipa moyo
nkajikaza kwani mama nilihus namjua sana ni mlokole haswaa mpka watu uwa
wananishangaa nlimptaje coz mie cnaga swaga za kilokole,aliku kesha
nihakikishia kua yeye ni bikira na ajawai ku do.Kwa mda wote wa mapenzi
yetu nmekua nikijaribu kuomba mchezo ila ilishndkana.juzi kati ulizuka
ugomvi mkubwa sana kati yangu na yeye kisa kikiwa ni hicho hicho
kugegenda,Mimi nkiwanataka yeye ataki,tumekaa bila kuongeleshana kwa
almost wiki nzima,jana ijumamosi ndo aliamua kuvunja ukimya na kuniita
niende kwake ili tusort out ili tatizo.Tuliongea mengi ila dada bado
alikua kashikilia msimamo wake ila akaniomba nimpe mda kidogo afikilie
jinsi ya kulifanya hilo,nlimkubalia,basi ile kuangana kwa hugs na kisses
tukajikuta kitandani bahati nzuri ni kama she was 50/50 kufanya,na mie
sikutaka kua ---- nikatoa dudu fasta nikijua leo ndo naifumua zawadi
yngu ya chrsmas...mmmh..nlichokikuta huko staki kuamini mpka sa
hvi..nahisi mie nlikua mwanaume wa 20 kuzamisha. Hata gori nlishdwa
kupiga kwa sababu ya mawazo nlokua nayo,nlivaa surua yangu taratibu.
nkimwacha demu analia sana uku akiniomba msamaha daa wanawake siwatamani
tena..