Ni aibu
iliyoje? Mwanadada ambaye amejitambulisha kuwa ni msomi wa chuo kikuu
(jina lipo) ambaye pia ni mwanakwaya chuoni hapo aliyejitaja kwa jina
moja la Rei ameaibika baada ya kunaswa usiku mnene akijiuza, Risasi Jumamosi linaifumua.
Rei
alikamatwa katika msako wa polisi katikati ya Jiji la Dar (City Center)
hivi karibuni akiwa na kundi la warembo wa vyuo mbalimbali wakifanya
biashara haramu ya kuuza miili.
Mrembo huyo ambaye Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishersilimshuhudia,
kabla ya kupelekwa kituo kikuu cha polisi, Wilaya ya Ilala (Central),
alijitetea kuwa yeye ni denti wa chuo kikuu hivyo kitendo cha kupigwa
picha alijua kabisa kuwa zitasambaa mitandaoni hivyo itakuwa ni aibu
kubwa.
“Kaka naomba usinitoe gazetini au mitandaoni, haya ni maisha tu, itakuwa aibu kwa wanachuo wenzangu,” alijitetea.
Mbali
na hayo, mrembo huyo wa haja alikuwa akihaha kuwa kama ishu hiyo
itamfikia mchungaji wake, basi hatakuwa na sehemu ya kuficha uso wake.
Pia Rei alijitetea kuwa huwa hajiuzi kila siku na hiyo ilitokea tu kwa bahati mbaya kwani ana biashara zake binafsi.
Pia Rei alijitetea kuwa huwa hajiuzi kila siku na hiyo ilitokea tu kwa bahati mbaya kwani ana biashara zake binafsi.
Alipoulizwa na ‘kachero’ wetu juu ya kanisa au kwaya anayoitumikia alikataa kutaja kwa madai kuwa atalichafua kanisa.
“Wewe ujue tu mimi ni mwanakwaya, hayo mambo ya kwaya na kanisa sitaki kulichafua jina la Mungu,” alisema.
“Wewe ujue tu mimi ni mwanakwaya, hayo mambo ya kwaya na kanisa sitaki kulichafua jina la Mungu,” alisema.
Mwanakwaya,msomi wa chuo kikuu (katikati).
Kwa
mujibu wa polisi wa doria waliowanasa warembo hao walidai kuwa Jumatano
iliyopita watafikishwa katika Mahakama ya Jiji la Dar (Sokoine Drive)
chini ya Hakimu Mkazi, Timothy Lyon kwa kosa la uzururaji kwa kuwa
hakuna sheria ya moja kwa moja juu ya uka