na wale matajiri watajua umependea pesa zao na hata kama umempenda kwa dhati mambo ya manyanyaso na nk yatahusika, esp matajiri watakuhonga kila kitu make
sure hata akikununulia kijiko kiwe katika jina lako Elizabeth Michael.
All the best maana sasa umekuwa yaliyopita si ndwele tugange yajayo, one more thing, mfiche
mtarajiwa wako we anza kumtangaza anaitwa J haaa kuna makubimbiri
yanan’gaa macho kazi yao kusubiri kutongozwa halafu yalivyokuwa
mahayawani yenyewe yanakuja kwa nia moja tu ya kuharibu na kusepa so
TAKE CARE…