Mtandao wa kijamii wa FaceBook ni miongoni mwa mitandao yenye wafuasi wengi na unaopendwa zaidi Dunia, Kwa historia fupi ni kwamba mmuanzilishi wa Facebook ni kijana mdogo anayefahamika kwa jina la Mark ZuckerBerg(29) ambaye asili yake ni Raia wa Israel anayeishi nchini marekani.
Haya ni mambo makubwa matano usiyoyafahamu kuhusu mtandao wa Facebook.
(1.)
Idadi ya watumiaji wa mtandao wa Facebook Dunia(Active Users) ni
Milioni 901 kwa mwaka huu ukilinganisha na miaka michache ya nyuma
ambapo idadi ilikuwa ni watumiaji Milioni 680.
(2.)Kila siku jumla ya Picha Milioni 300 huwa zinakuwa zinapakiwa(UPLOADED) katika mtandao wa Facebook.
(3.)Jumla ya LIKES na COMMENTS Bilioni 3.2 zinazokuwa posted katika mtandao wa Facebook kwa siku.
(4.)
Kama ulikuwa hufahamu ni kwamba MAPATO yatokanayo na mtandao wa
Facebook kwa robo ya mwaka jana wa 2012 ni jumla ya Dola Bilioni 1.058,
kutoka Dola Milioni 730 ukilinganisha na miaka ya nyuma iliyopita.
(5.) Kwa sasa mtandao wa Facebook unawafanyakazi wapatao 3,539 ambao wapo katika ajira ya kudumu(Full-Time Employees).