Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa
NCCR-Mageuzi Mhe James Mbatia na daktari wa zamu wakimwangalia Mjumbe wa
Tume ya Katiba Dkt. Sengondo Mvungi aliyelazwa katika Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa (MOI) jana Oktoba 3, 2013 kufuatia
kujeruhiwa kwake na watu wanaosadikiwa ni majambazi usiku wa Jumamos
Oktoba 2, 2013.(PICHA NA IKULU)
Home
»
MATUKIO
»
RAIS KIKWETE AMTEMBELEA DKT SENGONDO MVUNGI ALIYEJERUHIWA KWA MAPANGA NA MAJAMBAZI....